Ni marufuku kufanya siasa vyuoni - Majaliwa
Serikali imekanusha madai ya kutoa maelekezo kwa uongozi wa vyuo vya elimu ya juu ya kuwanyanyasa wanafunzi wa vyuo hivyo wanaojihusisha na masuala ya siasa na badala yake imewataka wafuate kanuni na taratibu zilizowekwa sehemu husika.