Tutamaliza kilimo cha jembe la mkono-Nchemba

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba.

Bunge limepitisha Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, kwa mwaka wa fedha 2016/2017, baada ya kufanyika kwa mjadala wa siku mbili ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS