Malipo ya kidijitali mwarobaini wa ubadhirifu
Mfumo wa malipo kwa njia ya kidijitali umeelezwa kuwa ndio mwarobaini wa kupambana na ubadhirifu katika taasisi na idara za umma huku ukichochea kasi ya ukuaji wa uchumi kwa kurahisisha malipo ya fedha na huduma.