Azam FC kamili kuifuata Kagera kesho Kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa mwishoni mwa wiki hii. Read more about Azam FC kamili kuifuata Kagera kesho