Kigwangalla kumsomesha binti aliyehutubia Mataifa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo, Jinsia, Watoto na Wazee, Dk Khamis Kigwangalla amesema atamwendeleza binti Getrude Clement ambaye alipata fursa ya kutoa mada kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa. Read more about Kigwangalla kumsomesha binti aliyehutubia Mataifa