Ngoma na Kamusoko kuwakosa Waangola kesho Taifa

Yanga SC kesho inashuka Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuvaana na Sagrada Esperanca ya Angola huku ikiwakosa wachezaji wake tegemeo wa kimataifa wa Zimbabwe, kiungo Thabani Scara Kamusoko na mshambuliaji Donald Dombo Ngoma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS