Watanzania tupende vya kwetu - Millen Magese. Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania anayefanyia shughuli zake nchini Afrika Kusini na Amerika, ametoa witoa kwa watanzania, akiwataka kuwa wazalendo. Read more about Watanzania tupende vya kwetu - Millen Magese.