Bodaboda walalamika kutongozwa na abiria wanawake Madereva bodaboda mkoani Dar es Salaam wamelalamikia tabia isiyofaa ya baadhi ya abiria wao hususani wanawake wanaowalaghai kwa kuwataka kingono badala ya kuwapa malipo yao waliyokubaliana. Read more about Bodaboda walalamika kutongozwa na abiria wanawake