Serikali kuanza ukarabati na ujenzi wa Mahakama
Serikali imesema kuwa inafanyia mabadiliko mpango wa miaka mitano wa ujenzi na ukarabati wa mahakama nchini ikiwa ni pamoja na kurekebisha maslahi ya Mahakimu na wanasheria ili wafanye kazi hiyo kwa weledi zaidi.