Washauriwa kulima mihogo kuepuka baa la njaa
Serikali mkoani Mara imetangaza mkakati maalum wa kukabiliana na tatizo kubwa la upungufu mkubwa wa chakula mkoani humo huku kila Kaya ikiagizwa kulima ekari mbili za zao la muhogo ikiwa ni njia mojowapo ya kukabiliana na tatizo njaa.