"Mimi ndio mwanamke mzuri Bongofleva" - Shilole Msanii Shilole ambaye haishi vituko kwa mashabiki wake amejigamba kuwa kwa Bongo hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi. Read more about "Mimi ndio mwanamke mzuri Bongofleva" - Shilole