Azam FC na JKT kupambana kesho kusaka pointi tatu Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea tena hapo kesho kwa kupigwa kwa mchezo mmoja utakaowakutanisha Azam FC wakiwakaribisha JKT Ruvu Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es Salaam. Read more about Azam FC na JKT kupambana kesho kusaka pointi tatu