Rufaa za Geita na Polisi Tabora zatupiliwa mbali

Kamati ya rufaa ya nidhamu ya Shirikisho la Soka nchini TFF zimetupilia mbali rufaa za warufani saba kati ya nane zilizokatwa juu ya sakata la upangaji wa matokeo katika michezo ya mwisho ligi daraja la kwanza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS