Kamati ya rufaa ya nidhamu TFF yatumbua jipu FDL

Kipa Denis Richard wa Geita Gold Sports.

Kamati ya rufaa ya nidhamu ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF imetangaza maamuzi ya rufaa zilizokatwa na watuhumiwa walioadhibiwa na kamati ya nidhamu ya TFF nakupigilia msumali adhabu za awali huku ikimwachia huru kipa wa Geita Gold Sports.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS