Serikali yatangaza neema kwa wakulima wa korosho Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali imeondoa tozo ya asilimia 15 ya eneo la manunuzi ya vifungashio katika zao la korosho ili kumfanya mkulima kupata tija zaidi. Read more about Serikali yatangaza neema kwa wakulima wa korosho