Ole wao wanaowapa ujauzito Wanafunzi-Ummy
Serikali imewaagiza Maafisa maendeleo ya Jamii na maafisa ustawi wa Jamii wa wilaya,kata na mikoa nchini kuwafatilia wanaume wanaowapa ujauzio wanaume wanaowapa ujauzito watoto wa shule na kuwafikisha Mahakamani.