Kilimo cha Migomba kiwe cha Kibiashara-Mansour
Kaimu Mkurugenzi wa tafiti na Maendeleo kutoka Wizara ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi, Hussein Mansour,amesema kuwa ni muhimu kwa wakulima wa migomba nchini kulima kisasa kwa kutumia mbegu zinazostahimili magonjwa na ukame.