Tutafikisha fedha za miradi kwa wakati-Kijaji
Serikali ya Tanzania imesema kuwa imeanza kuchukua hatua kadhaa katika kuhakikisha kuwa fedha za miradi ya maendeleo zinafika kwa wakati ili kuharakisha kukamilika kwa miradi ya maendeleo ambayo imekua haifikishiwi fedha.