Wanawake vijijini Wanakosa Msaada wa Sheria

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu

Serikali imekiri kuwa wanawake wengi wa vijijini wanakumbana na changamoto ya kupata msaada wa sheria na kusema Wizara ya Katiba na Sheria imeshapeleka mapendekezo ya kutunga sheria ya msaada wa kisheria utakaofanya wanawake wote kupata msaada huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS