Ajipiga risasi akijaribu kujipiga 'Selfie' Jinsi ya watu wanavyojishughulisha na picha za Selfie Polisi nchini India wamesema kuwa kijana Mmoja amejipiga risasi kichwani kwa bahati mbaya wakati akijaribu kujipiga picha ya 'Selfie' akiwa ameshikilia bunduki iliyokuwa ikimilikiwa na baba yake. Read more about Ajipiga risasi akijaribu kujipiga 'Selfie'