Mtoto wakike aokolewa hai kwenye kifusi

Mwanajeshi akisaidia na mbwa kutafuta watu waliofukiwa na kifusi cha jengo Jijini Nairobi

Mtoto wakike mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu ameokolewa akiwa hai jana kutoka kwenye kifusi cha jengo la ghorofa lililoanguka Jijini Nairobi baada ya siku nne kupita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS