Wakazi wa mji mzima wakimbia moto Canada Moto mkubwa wa nyika umelazimisha kuhama watu 60,000 kutoka mji wa Fort McMurray ambao ni idadi yote ya wakazi wa mji huo wa nchini Canada. Read more about Wakazi wa mji mzima wakimbia moto Canada