Ted Cruz ajitoa mbio za urais Marekani Muwania urais wa Marekani Ted Cruz ametangaza kuachana na kampeni za urais kwa tiketi ya chama cha Republican, baada ya kushindwa vibaya na Donald Trump katika kura za Indiana. Read more about Ted Cruz ajitoa mbio za urais Marekani