Naibu Waziri Suleiman Jafo akielezea mikakati ya Serikali ya awamu ya tano katika uboreshaji wa huduma
Serikali imesema kuwa iko katika mkakati wa kuhakikisha shule zote kongwe nchini zinarudi katika hali yake ya kawaida ambapo itaanza na baadhi ya shule nchini ili kuboresha Sekta ya Elimu nchini.