Hauna bima na unatoa Milioni kwenye harusi
"Suala alilozungumzia ni nyeti mno, suala la akina mama na mambo mengine ya dharula tunatoa maelekezo mahususi kwanza moja kwa hospital za private lakini pia za umma kwamba mama na mtu mwingine yoyote wa dharula kwamba kwanza apate huduma sio suala la kuuliza fedha