Bandari ya DSM kuboreshwa upya Bandari ya Dar es salaam Mamlaka ya Bandari nchini Tanzania TPA imetangaza kuanza kufanya maboresho ya bandari ya Dar es salaam ili kuondokana na msongamano wa mizigo pamoja na kurahisisha upakuaji wa mizigo unayopitia katika bandari hiyo. Read more about Bandari ya DSM kuboreshwa upya