Kupungua mizigo bandarini tishio kwa uchumi-TAFFA
Chama wa Mawakala wa Forodha nchini Tanzania TAFFA kimesema tishio linalotokana na kupungua kwa mizigo inayoingia na kutoka kupitia bandari mbali mbali nchini hivi sasa lipo dhahiri na sio kificho tena.