Kipindupindu chazidi kuteketea Tanzania

Wazir wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu

Maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu nchini yameendelea kupungua ambapo takwimu za mwezi wa Aprili 2016 zinaonesha kuwa kulikuwa na wagonjwa 1,037, sawa na punguzo la asilimia 65 kutoka wagonjwa 2,953 walioripotiwa mwezi Machi 2016.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS