Ahukumiwa miaka 30 jela kwa ubakaji, Mbarali

Mahakama ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa kijiji cha Ubaruku wilayani humo Joseph Kawimbe(19) kutokana na kosa la ubakaji wa mtoto mwenye umri wa miakia saba.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS