Serikali kufunga vifaa tiba hospitali za rufaa
Serikali imesema itafunga vifaa tiba katika hospitali zote za rufaa nchini zikiwemo mashine za CT-Scan na X-ray ili kuwaondolea adha wananchi wa mikoani kutumia gharama kubwa kutafuta huduma hizo katika hospitali binafsi.