Wanusurika kifo baada ya mabweni kuteketea
Zaidi ya wanafanzi 120 waliopo katika shule ya sekondari ya kikatiti wilayani Arumeru Mkoani Arusha wamenusurika kifo,baada ya bweni wanalolitumia lenye vyuma tisa kuungia moto unaodaiwa kusababishwa na hitilafu ya umeme.