Waliofariki jengo lililoanguka Nairobi waongezeka

Watu wakiendelea na Uokozi katika jengo lililoanguka Nairobi

Maafisa mjini Nairobi nchini Kenya wamesema idadi ya watu waliokufa baada ya jengo la makaazi kuporomoka katika mtaa wa Huruma imefikia watu 16 na wengine 73 bado hawajapatikana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS