Watu wenye Albnism hatarini kutoweka Malawi-Ero

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, au albino, Bi. Ikponwosa Ero.

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wenye ulemavu wa ngozi, au albino, Ikponwosa Ero ameonya kuwa machungu na vitisho vinavyokabili albino nchini Malawi vinahatarisha uwepo wao iwapo hatua hazitachukuliwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS