Wekezeni kwenye viwanda-Dkt, Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli,ameitaka mifuko ya hifadhi ya jamii iwekeze kwenye miradi ya Maendeleo ikiwemo viwanda ili kujipatia wananchama wengi zaidi na kuzalisha ajira nyingi zaidi.