Rais Magufuli ashusha makato ya kodi ya mshahara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amesema kuwa serikali yake imejipanga kuwashughulikia watumishi wa umma ambao ni wezi, mafisadi, wala rushwa na wazembe na kuahidi kuwa atawashugulikia mahali popote walipo.