Wazazi watakiwa kuwaendeleza watoto wao kielimu

Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Fatma Ally

Wazazi na walezi mkoani Mtwara wametakiwa kuwaendeleza kielimu watoto wao walioishia elimu msingi ili waweze kunufaika na uwekezaji unaofanyika kupitia kampuni mbalimbali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS