Maproducer wanadharaulika sana – Master J

Master J (Kushoto) katika SELFI na DJ Ommy Crazy ndani ya FNL

Producer mkongwe nchini wa muziki ambaye pia anamiliki studio ya MJ Productions, Master J, ameleeza kusikitishwa kwake na hali ya kudharaulika kwa maproducer wa audio music ikilinganishwa na madirector wa video.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS