Utata wimbo wa Sugu na Mr Blue wamalizwa FNL

Utata uliokuwa umeghubika umiliki wa ngoma mpya ya Mr Two a.k.a Sugu inayokwenda kwa jina la Freedom umemalizwa katika show ya FNL baada ya producer wa ngoma hiyo Daxo Chali kuthibitisha rasmi kuwa ni ngoma halali ya Sugu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS