Yanga yazidi kupeta, Coastal ikizamishwa mkwakwani Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara timu yaYanga imezidi kuukaribia ubingwa wake baada ya leo kuifunga mabao 2-1 Toto Africans ya Mwanza, katika mchezo uliopigwa CCM Kirumba jijini Mwanza. Read more about Yanga yazidi kupeta, Coastal ikizamishwa mkwakwani