Sare Simba/Azam yaisafishia Yanga njia ya ubingwa.
Unaweza kusema kuwa matokeo ya suluhu ya timu za Simba na Azam katika mchezo wa hii leo ni kama wameisafishia njia timu ya Yanga amabao ndiyo mabingwa watetezi wa ligi hiyo na sasa inajidai kileleni ikiziacha timu hizo kwa alama saba katika msimamo.