Jaji Mkuu kuongoza maadhimisho ya siku ya habari Jaji mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ambapo kitaifa inaadhimishwa jijini Mwanza. Read more about Jaji Mkuu kuongoza maadhimisho ya siku ya habari