TUNAKUJA HUKO HUKO KINSHASA Kiongozi wa waasi ambaye wapiganaji wake wameiteka Goma, mji mkubwa zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ameapa kuendelea na mashambulizi hadi mji mkuu, Kinshasa. Read more about TUNAKUJA HUKO HUKO KINSHASA