CHRAGG;Kutoonesha bunge ni kuwanyima wananchi haki
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Bahame Tom Nyanduga
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania(CHRAGG), imesema kuwa kutorushwa kwa matangazo ya Bunge ya moja kwa moja kunaweza kutafsiriwa kama kuwanyima wananchi haki ya kupata habari.