TADA wenyeji vishale Afrika Mashariki hapo kesho Mashindano ya mchezo wa vishale ya Afrika Mashariki yanatarajiwa kuanza hapo kesho jijini Dar es salaam kwa kushirikisha nchi za Kenya, Uganda na mwenyeji Tanzania. Read more about TADA wenyeji vishale Afrika Mashariki hapo kesho