TPDC yajitetea kuhusu akaunti za Escrow Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt James Mataragio Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, TPDC limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa kuhusu shirika hilo kufungua Akaunti za ESCROW katika Benki ya Stanbic. Read more about TPDC yajitetea kuhusu akaunti za Escrow