Watendaji watakiwa kutoa kipaumbele kwa walemavu
Watendaji wa Serikali wametakiwa kuwajibika kwa kutoa kipaumbele kwa watu wenye ulemavu katika masuala mbalimbali ikiwemo kuwawezesha kiuchumi pamoja na kuwapatia fursa sawa za ajira kwa mujibu wa sheria.