Watanzania jizoesheni ushiriki michezo-Nkenyenge

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Makoye Alex Nkenyenge

Watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuweza kushiriki katika michezo mbalimbali ili kujijengea mafanikio ya kimichezo hapa nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS