PLANET BONGO Jumatatu ijayo usikose kuangalia Planet Bongo atakuwepo Ommy Dimpoz kwenye 'KITENGO' ambapo utajua mengi kuhusu yeye na harakati zake, pamoja changamoto anazoziona ndani ya Muziki wa Bongo Flava.Submitted by Heriel on Ijumaa , 29th Apr , 2016 Read more about PLANET BONGO