Migogoro ya wakulima na wafugaji imalizwe: Makalla Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw Amos Makala amesema vikao vya ujirani mwema pekee ndiyo vitawezesha mwendelezo wa mahusiano mema baina ya wakulima na wafugaji wilayani Mbarali. Read more about Migogoro ya wakulima na wafugaji imalizwe: Makalla