Tanzania yapewa uwenyeji riadha vijana U-18 EAC

Viongozi na wanariadha wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Tanzania inataraji kuwa mwenyeji wa michuano mingine ya vijana kwa nchi za Afrika Mashariki baada ya kamati ya utendaji ya shirikisho la riadha kwa nchi za Afrika Mashariki EAAF kukubaliana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS